Nenda kwa yaliyomo

Ramón Echarren Istúriz

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ramon Echarren Istúriz (13 Novemba 1929 – 25 Agosti 2014) alikuwa askofu kutoka Uhispania.

Echarren Istúriz alitawazwa kuwa kasisi mwaka 1958, aliteuliwa kuwa askofu mkuu wa 'Diano' na askofu msaidizi wa Jimbo Kuu la Katoliki la Madrid, Uhispania, mwaka 1969. Mwaka 1978, aliteuliwa kuwa askofu wa Jimbo Katoliki la Canarias na kustaafu 2005 [1].

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.