Nenda kwa yaliyomo

Raji Abdel-Aati

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Raji Abdel-Aati ni kiungo wa kati wa soka kutoka Sudan anayechezea klabu maarufu ya Sudan, El-Merreikh na timu ya taifa ya soka ya Sudan. [1]

Alihamishiwa kutoka Ahli Al Khartoum kwenda El-Merreikh mnamo Desemba 2008. Aliweka bao lake la kwanza kwa El-Merreikh katika mechi ya kirafiki dhidi ya Al-Wakra ya Qatar huko Qatar kwa mkwaju wa penalti ambapo wageni walishinda 0:2.

  1. http://www.nationalfootballteams.com/v2/player.php?id=32599 Ilihifadhiwa 4 Machi 2012 kwenye Wayback Machine. Timu za Kitaifa za Soka, ziliafikiwa tarehe 18 Januari 2011.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Raji Abdel-Aati kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.