Railway
Mandhari
Railway ni neno la Kiingereza kwa usafiri wa reli au gari la moshi. Katika miji inaweza kutaja pia eneo ambalo ni karibu na njia ya reli au nyumba ambazo ni mali ya kampuni ya reli, kwa mfano
- Railway (Mtwara Mjini) - kata ya Mtwara Mjini - Tanzania
- Railway (Zanzibar) - kata ya jiji la Zanzibar - Tanzania