Rahma Bajun
Mandhari
| Rahma Bajun | |
| Nchi | Tanzania |
|---|---|
| Kazi yake | mkurugenzi wa Ubunifu wa MnM Clothing Line |
| Cheo | mkurugenzi |
Rahma Bajun (alizaliwa 1994) ni mwanzilishi na mkurugenzi wa ubunifu katika kampuni ya MnM Clothing Line, chapa maarufu ya nguo za Afro-centric nchini Tanzania inayozalisha nguo za bei nafuu, pochi na vifaa vingine vya mitindo vya wanaume na wanawake kwa kutumia kitambaa maarufu cha Kitenge cha Afrika Mashariki.
Kampuni hiyo ina wafanyakazi 7 wa kudumu na inauza bidhaa zake kote Afrika Mashariki[1].
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu wasifu wa Mtanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |