Rachel Furness

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Furness akiwa na Liverpool mnamo 2022

Rachel Furness (alizaliwa 19 Juni 1988) ni mchezaji wa mpira wa miguu anayecha klabu ya Bristol City inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) [1] na timu ya taifa ya Ireland Kaskazini.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Liverpool sign Reading midfielder Furness", BBC Sport (kwa en-GB), iliwekwa mnamo 2024-04-27 
  2. "Northern Ireland UEFA Women’s Euro squad announced". IFA (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-27. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rachel Furness kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.