Nenda kwa yaliyomo

Rachel Chiesley, Lady Grange

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchoro wa Lady Grange uliochorwa na Sir John Baptiste de Medina, mwaka 1710.

Rachel Chiesley (anajulikana pia kama Lady Grange, alibatizwa 4 Februari 167912 Mei 1745) alikuwa mke wa Lord Grange, wakili wa Uskoti aliyekuwa na huruma kwa watu wa Yakobo.

Baada ya miaka 25 ya ndoa na kupata watoto tisa, wanandoa hao walitengana kwa ugomvi mkali.

Maisha ya Awali

[hariri | hariri chanzo]

Rachel Chiesley alikuwa mmoja wa watoto kumi wa John Chiesley wa Dalry na Margaret Nicholson.[1][2]

  1. "Gladstone's Land" Archived 19 Oktoba 2007 at the Wayback Machine. National Trust for Scotland. Retrieved 8 August 2010.
  2. "Gladstone's Land" Archived 15 Julai 2007 at the Wayback Machine. VisitScotland. Retrieved 4 February 2012.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rachel Chiesley, Lady Grange kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.