Réda Babouche

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mohamed Réda Babouche (alizaliwa 3 Julai 1979 huko Skikda) ni mwanasoka wa Algeria.[1]

Ushiriki Kitaifa[hariri | hariri chanzo]

Mnamo Juni 12, 2005, Babouche alicheza mechi yake ya kwanza katika Timu ya Taifa ya Algeria kwa kuingia katika kipindi cha pili cha mchezo ns kupoteza kwa 3-0 katika mechi ya kirafiki dhidi ya Mali.

Heshima[hariri | hariri chanzo]

  • Alishinda Kombe la Algeria mara mbili akiwa na MC Alger mnamo 2006, 2007
  • Alishinda Kombe la Super Cup la Algeria mara mbili akiwa na MC Alger mnamo 2006, 2007
  • Alishinda Championnat National ya Algeria mara moja na MC Alger 2010[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo Vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Réda Babouche kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.