Queen Mary's Peak

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Queen Mary's Peak

Queen Mary's Peak ni mlima mrefu kuliko yote ya Tristan da Cunha, kusini mwa bahari ya Atlantiki.

Ni volkeno hai na iko katika kisiwa cha Tristan da Cunha.

Ina urefu wa mita 2,062.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]


Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Queen Mary's Peak kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.