Pumpuang Duangjan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Pumpuang Duangjan[1] (4 Agosti - 1961 - 13 Juni 1992) alikuwa mwimbaji wa Thailand[2]. Alijulikana kwa nyimbo zake za kiasili na ballads za Luk thung[3]. Mzaliwa wa Mkoa wa Suphanburi.

Mgonjwa wa Lupus erythematodes, alifariki mwaka 1992 katika Phitsanulok. Alikuwa na umri wa miaka 31[4].

Matamasha na Ziara[hariri | hariri chanzo]

  • 1985 : Nud Phop Na Amphoe
  • 1985 : Sao Na Sung Farn
  • 1986 : Takkataen Phuk Bow

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Pumpuang Duangjan's 57th Birthday. Doodles Archive, Google (August 4, 2018).
  2. Dance and Music. Thai Culture. OnlyChaAm.com. Iliwekwa mnamo November 7, 2016.
  3. Lockard, Craig (2009). Southeast Asia in World History. Oxford University Press. ISBN 978-0195338119. 
  4. ปราการด่านสุดท้าย (July 19, 2011). ชีวิต แม่พุ่มพวงค่ะ ไปเจอมาเราว่าละเอียดที่สุดแล้วค่ะ (Thai). Pantip.com.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pumpuang Duangjan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.