Programu za kompyuta za kurekebisha historia ya madeni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Programu ya kompyuta ya kurekebisha historia ya madeni huwezesha watumiaji kurekebisha makosa na taarifa zisizo sahihi katika ripoti zao za madeni ili kuwapa alama nzuri. Baadhi ya programu hizi huwasaidia watumiaji kwa kuwapa mwongozo wa mambo mbalimbali kama vile jinsi ya kufuzu vigezo ya kupata mkopo, kurahisisha masuala kuhusu alama ya mikopo, kusaidia kuandika barua za kupinga maelezo yaliyoko kwenye ripoti ya madeni na pia ushauri wa jinsi ya kujadiliana na wakopeshaji.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.