Nenda kwa yaliyomo

Prigi Arisandi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Prigi Arisandi (alizaliwa 24 Januari 1976) ni mwanabiolojia na mwanamazingira kutoka Indonesia.

Alihitimu katika biolojia kutoka Chuo Kikuu cha Airlangga. Alitunukiwa Tuzo ya Mazingira ya Goldman mnamo mwaka 2011, kwa jitihada zake za kupunguza uchafuzi wa viwanda wa Mto Surabaya.[1][2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Prigi Arisandi: Aksi Nyata Pelestarian Lingkungan Hidup", 21 April 2011. Retrieved on 31 May 2012. (Indonesian) Archived from the original on 2012-06-30. 
  2. "2011 Goldman Environmental Prize Recipients". Goldman Environmental Prize. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 4 Juni 2012. Iliwekwa mnamo 30 Mei 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "2011 Recipient for Islands: Prigi Arisandi". Goldman Environmental Prize. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 12 Novemba 2011. Iliwekwa mnamo 30 Mei 2012. {{cite web}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)