Pontevedra

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pontevedra

Pontevedra ni mji (manispaa) wa Hispania, makao makuu ya mkoa wa Pontevedra katika Jimbo la Galicia.

Tarehe 1 Januari 2020 wakazi wake walikuwa 83,260. Liko katika Rías Baixas (Galicia) ya Atlantiki, kilomita 600 kaskazini kwa Madrid.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Pontevedra travel guide kutoka Wikisafiri

Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Pontevedra kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.