Polly Boshielo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Shela Paulina Boshielo
Nchi Afrika Kusini
Majina mengine Polly Boshielo
Kazi yake Mwanasiasa

Shela Paulina Boshielo, anayejulikana kama Polly Boshielo, ni mwanasiasa wa Afrika Kusini ambaye ni mjumbe mkuu wa halimashauri ya Limpopo (MEC) katika usafiri, usalama na kiungo kwanzia Juni 2022. Amekuwa mjumbe wa Limpopo kwenye kongamano la Afrika tangu Juni 2015.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "New provincial speaker believes in hard work"
  2. "Ms Shela Paulina Boshielo"
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Polly Boshielo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.