Pione Sisto

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pione Sisto

Pione Sisto Ifolo Emirmija (alizaliwa 4 Februari 1995) ni mchezaji wa soka wa Denmark ambaye anacheza kama kiungo wa kushoto katika klabu ya Hispania Celta de Vigo na timu ya taifa ya Denmark.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pione Sisto kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.