Nenda kwa yaliyomo

Pimekrolimusi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pimekrolimusi
Jina la Utaratibu la (IUPAC)
(3S,4R,5S,8R,9E,12S,14S,15R,16S,18R,19R,26aS)-3-{(E)-2-[(1R,3R,4S)-4-chloro- 3 -methoxycyclohexyl]-1-methylvinyl}-8-ethyl-5,6,8,11,12,13,14,15,16,17,18,19,24,25,26,26a-hexadecahydro-5, 19-dihydroxy-14,16-dimethoxy-4,10,12,18-tetramethyl-15,19-epoxy-3H-pyrido[2,1-c][1,4]oxaazacyclotricosin-1,7,20,21 (4H,23H) -tetrone
Data ya kikliniki
Majina ya kibiashara Elidel
AHFS/Drugs.com Monografia
Kategoria ya ujauzito ?
Hali ya kisheria ?
Data ya utendakazi
Uingiaji katika mzunguko wa mwili Unyonyaji mdogo wa kimfumo
Kufunga kwa protini 74%–87%
Vitambulisho
Nambari ya ATC ?
Data ya kikemikali
Fomyula C43H68ClNO11 
 YesY(Hiki ni nini?)  (thibitisha)

Pimekrolimusi (pimecrolimus, inayouzwa kwa jina la chapa Elidel, ni dawa inayotumika kutibu ugonjwa wa ngozi (eczema) na hali ya seli za ngozi kujikusanya na kutengeneza gamba na mabaka yanayowasha na kukauka (psoriasis).[1][2] Ni matibabu ya mstari wa pili baada ya madawa yanatotumika kutibu ngozi (topical corticosteroids).[1] Dawa hii inatumika kwa ngozi kama krimu.[1]

Madhara yake ya kawaida ni pamoja na mmenyuko wa ngozi, maumivu ya kichwa, na kikohozi.[1] Matatizo yake mengine yanaweza kujumuisha saratani na maambukizo.[1] Haipendekezwi kuitumia wakati wa ujauzito.[2] Dawa hii ni kizuizi cha kalsiamu iitwayo calcineurin.[1]

Iliidhinishwa kwa ajili ya matumizi ya kimatibabu nchini Marekani mwaka wa 2001.[1] Nchini Uingereza, mrija wa gramu 30 hugharimu Huduma ya Afya ya Kitaifa (NHS) takriban £20 kufikia mwaka wa 2021.[2] Kiasi hiki nchini Marekani ni takriban dola 70.[3]

  1. 1.0 1.1 1.2 1.3 1.4 1.5 1.6 "Pimecrolimus Monograph for Professionals". Drugs.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 8 Oktoba 2021. Iliwekwa mnamo 28 Oktoba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. 2.0 2.1 2.2 BNF 81: March-September 2021. BMJ Group and the Pharmaceutical Press. 2021. uk. 1299. ISBN 978-0857114105.
  3. "Pimecrolimus Prices and Pimecrolimus Coupons - GoodRx". GoodRx. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 8 Mei 2016. Iliwekwa mnamo 28 Oktoba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pimekrolimusi kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.