Nenda kwa yaliyomo

Phoenix Suns

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Phoenix Suns

Phoenix Suns ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Phoenix, Arizona. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Devin Booker, De’Andre Ayton.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Phoenix Suns kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.