Nenda kwa yaliyomo

Phoebe Banura

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Phoebe banura
Amezaliwa
Uganda
Nchi Uganda
Kazi yake Mchezaji wa mpira wa miguu

Phoebe Banura (alizaliwa 1994/1995) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Uganda. Anachezea timu ya wanawake nafasi ya beki katika timu ya taifa nchini humo.[1]

  1. Confederation of African Football (CAF). "Uganda – Women’s National Team Players". https://www.cafonline.com/football/women/teams/uganda/
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Phoebe Banura kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.