Phil Foden

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Phil Foden

Philip Walter Foden (alizaliwa 20 Mei, 2000) ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anacheza kama kiungo wa klabu Manchester City na timu ya taifa ya chini ya miaka 21 ya Uingereza.

Alizaliwa huko Stockport, Foden ndiye mchezaji kijana kuliko wate wa Manchester City, alijiunga na klabu akiwa na umri wa miaka nane.

Alipata elimu kwenye Chuo kikuu cha St Bede, na ada yake ya masomo ililipwa na klabu hiyo.


Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Phil Foden kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.