Peter Mahamudu Msolla

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Peter Msolla

Peter Mahamudu Msolla (amezaliwa tar. 6 Mei 1945) ni mbunge wa jimbo la Kilolo katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Peter Mahamudu Msolla (18 Februari 2008). Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-18. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.