Peter Grünberg
Mandhari
Peter Andreas Grünberg (amezaliwa 18 Mei, 1939) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa amechunguza usumaku. Mwaka wa 2007, pamoja na Albert Fert, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Peter Grünberg kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |