Nenda kwa yaliyomo

Peter Celestine Elampassery

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Peter Celestine Elampassery OFMCap (28 Juni 1938 – 27 Mei 2015) alikuwa Askofu wa pili wa Jimbo Katoliki la Jammu–Srinagar.[1][2][3]

Maisha ya awali

[hariri | hariri chanzo]

Peter alizaliwa tarehe 28 Juni 1938, Muttuchira, Kerala, India. Baada ya kumaliza masomo yake alijiunga na Wakapuchini akaweka nadhiri zake mwaka wa 1963.

  1. "Bishop Bishop Peter Celestine Elampassery | Bishop of Jammu-Srinagar Diocese Bishop Peter Celestine Elampassery | Ucanews". directory.ucanews.com. Iliwekwa mnamo 2017-09-17.
  2. "Bishop who promoted peace in Kashmir dies", Matters India, 2015-05-27. (en-US) 
  3. Mangalore, Mangalore Today. "Bishop Peter Celestine passes on - Funeral May 30". www.mangaloretoday.com. Iliwekwa mnamo 2017-09-17.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.