Nenda kwa yaliyomo

Pembetatu ya Kifo (Algeria)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Pembetatu ya Kifo ni jina lililotolewa kwa eneo lililoko kusini-magharibi mwa Algiers, ambalo mipaka yake inajumuisha Blidah, Médéah, na Hadjout, ambapo baadhi ya mauaji mabaya zaidi ya miaka ya 1990 yalitokea[1].


Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Blake Robinson's "Preface" to Between Sea and Sahara: An Algerian Journal, Fromentin, Eugène, Athens, Ohio: Ohio UP, 1999, xii
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pembetatu ya Kifo (Algeria) kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.