Pembe butu
Mandhari
Pembe butu (ing. obtuse angle) ni pembe ambayo ni kubwa kuliko pembe mraba (=nyuzi 90°) na ndogo kuliko nyuzi 180°.