Pedro Sánchez

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pedro Sánchez in 2020.jpg

Pedro Sánchez Pérez-Castejón (amezaliwa 29 Februari 1972) ni mwanasiasa wa Hispania ambaye amekuwa Waziri Mkuu wa Hispania tangu Juni 2018.

Crystal personal.svg Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pedro Sánchez kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.