Nenda kwa yaliyomo

Patapaa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Justice Amoa, akijulikana sana kwa jina la Patapaa ni mwanamuziki wa hip-hop na muandishi wa nyimbo anayefanya kazi zake za kimuziki na uandishi nchini Ghana.

Ni mzaliwa wa kwanza kwenye familia ya watoto watatu huko Swerdu mkoa wa kati wa nchi ya Ghana. Alijulikana vyema kwa nyimbo yake "One Corner" ilioanza kusikika mwaka 2017, [1][2] nyimbo hiyo ilipata umaarufu nakumpatia tuzo za nyimbo bora ya mwaka kwa mwaka 2017 na mwaka 2018 Tuzo za Muziki za Vodafone Ghana.[3][4]

Nyimbo yake nyingine ijulikanayo kwa jina la “Kona Moja” ilichaguliwa kuwa nyimbo ya mwaka kwa mwaka 2018 nakumpatia tuzo ya Muziki za Vodafone Ghana.[5] Mnamo mwaka 2018, aliorodheshwa kuwa miongoni mwa wanamuziki wakimataifa wa Afrika waliowahi kutoa nyimbo nzuri zaidi,orodha hiyo ilipewa jina Akwaaba na mtayarishaji wa muziki wa Ghana Guiltybeatz ikimuhusisha Mr Eazi na Pappy Kojo.[6]

  1. "Patapaa is a gem in his field and shouldn't be underrated - Medikal". www.ghanaweb.com.
  2. "Patapaa saves Ghana Meets Naija again". www.ghanaweb.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2019-06-09.
  3. Graphic.com.gh. "VGMA 2018: Patapaa's One corner misses 'Most Popular Song' award".
  4. "[Video] Patapaa rocks VGMA stage with infamous suit - 3newsgh". 30 Aprili 2018. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-05-19. Iliwekwa mnamo 2022-04-24.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. "Ghana Music Awards Uk | Recognising the achievements of our musicians". www.gmauk.co.uk. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-09-09. Iliwekwa mnamo 2020-04-15. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  6. "Steve Newman | The Orbit – Jazz Club & Bistro – Johannesburg" (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-01-27. Iliwekwa mnamo 2023-02-26.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Patapaa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.