Pascal Siakam

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pascal akiwa anachezea timu ya kikapu ya Toronto Raptors mwaka 2018

Pascal Siakam (alizaliwa 2 Aprili 1994) ni mchezaji wa mpira wa kikapu anayeichezea timu ya Toronto Raptors katika Chama cha taifa cha mpira wa kikapu (NBA).

Alichezea timu ya mpira wa kikapu ya Chuo cha New Mexico State Aggies. Siakam alivhaguliwa na timu ya Toronto Raptors kama chaguo la 27 katika machaguzi ya wachezaji ya Chama cha taifa cha mpira wa kikapu(NBA). Draymond alifanikiwa kushinda mara moja na timu ya Toronto Raptors tuzo ya timu bora ya Chama cha taifa cha mpira wa kikapu(NBA) mwaka, pia kupewa tuzo ya mchezaji aliyejitahidi zaidi kwenye msimu huo.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pascal Siakam kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.