Nenda kwa yaliyomo

Partille (manispaa)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Partille ni manispaa na pia mji nchini Uswidi. Iko mashariki ya Göteborg katika mkoa wa Västra Götaland. Kuna wakazi 33,614 (mwaka 2005).

Jiografia[hariri | hariri chanzo]

Eneo lake ni 59.35 km².


Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Partille (manispaa) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.