Göteborg
Mandhari
| |
Eneo - Mji - Mkoa wa Jiji |
198.16 km² 450 km² |
Wakazi (2006-01-01) - Mji - Mkoa wa Jiji - Msongamano (mji/jiji) |
507,330 917,984 1,127.4/km² / 247/km² |
Kanda la wakati | Ulaya ya Kati: UTC+1 |
Latitudo Longitudo |
57°42' N 11°58' E |
Göteborg ni mji mkubwa wa pili nchini Uswidi upande wa magharibi ya nchi. Idadi ya wakazi ni 507,330. Mji uliundwa mwaka 1621.
Jiografia
[hariri | hariri chanzo]Eneo lake ni 198.16 km². Mji uko pande zote mbili za mto Göta
-
Mfereji katika Göteborg
-
Jumba la Sanaa la Göteborg
-
Gari mitaani
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Göteborg kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |