Nenda kwa yaliyomo

Antipapa Aleksanda V

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Papa Alexander V)
Papa Alexander V

Antipapa Aleksanda V (anajulikana pia kama Petro wa Kandia au Peter Phillarges; 1339 hivi – 3 Mei 1410) kwa mtazamo rasmi wa Kanisa Katoliki alikuwa antipapa wakati wa Farakano la Magharibi (13781417), ingawa wanahistoria wengine wanamuona kuwa Papa halisi.

Alichaguliwa na Mtaguso wa Pisa akatawala kwa muda mfupi kuanzia tarehe 26 Juni 1409 hadi kifo chake mwaka 1410, akipinga Papa Gregori XII wa Roma na Antipapa Benedikto XIII wa Avignon.[1]

  1. "I Choose John ..." Time. 10 Novemba 1958. uk. 91.{{cite magazine}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.