Paige Layle
Mandhari
Paige Hennekam (anajulikana zaidi kwa jina la Paige Layle, alizaliwa 2 Agosti 2000) ni mtetezi na mwandishi kutoka Kanada anayehusiana na kukubalika kwa ADHD "Attention Deficit Hyperactivity Disorder" (Shida ya Upungufu wa Umakini na Uhamasishaji wa Haraka) na usonji.
Alianza kutuma kuhusu uzoefu wake na ADHD na usonji kwenye mitandao ya kijamii mnamo Machi 2020 na tangu wakati huo amepata wafuasi wengi kwenye Instagram, TikTok, na YouTube. Pia aliandika kitabu kiitwacho "But Everyone Feels This Way: How an Autism Diagnosis Saved My Life" (Lakini kila mtu anahisi hivi: Jinsi utabiri wa usonji ulivyookoa maisha yangu). [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ @paigelayle. "paigelayle". Instagram. Iliwekwa mnamo 2021-09-06.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Paige Layle kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |