Paco Sery

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha ya Paco Sery mnamo 2002 iliyopigwa na Julie
Picha ya paco sery mnamo 2002 iliyopigwa na julie

Paco Sery (alizaliwa mnamo 1 mei 1956, Côte d'Ivoire)[1] ni mwanamuziki wa dunia na mpiga ngoma wa jazz fusion[2]. Aliimba na Joe Zawinul [3] na Eddy Louiss. Pia ana Bendi yake mwenyewe ambayo alitoa albamu yake ya kwanza ya solo ya Voyages, mnamo mwaka 2000.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Paco Sery - African artists". Afrik.com. 15 March 2010. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-06-15. Iliwekwa mnamo 13 June 2010.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. Budofsky, Adam. The drummer: 100 years of rhythmic power and invention. Hal Leonard Corporation. uk. 93. ISBN 978-1-4234-0567-2. 
  3. Bogdanov, Vladimir; Woodstra, Chris; Erlewine, Stephen Thomas (2001). All music guide: the definitive guide to popular music. Hal Leonard Corporation. uk. 1435. ISBN 978-0-87930-627-4.