Nenda kwa yaliyomo

Pachelbel's Canon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Pachelbel's Canon (vilevile unajuliakana kama Canon katika D major au Canon katika D) ni moja kati ya vipande vya muziki maarufu sana kutoka kwa mtunzi Johann Pachelbel. Tungo hii ilitungwa katika miaka ya 1680, ukiwa kama sehemu ya chamber music kwa ajili ya violin tatu na basso continuo, lakini kadiri siku zinavyoenda imepatwa kuborehswa kwa vyombo mbalimbali. Tungo hii ni marufu sana kwa mtindo wake wa mfuatano wa chord.

Tungo hii ya Pachelbel's Canon mara nyingi hupitwa katika maharusi. Mwaka wa 1997, ilipata kutumika kama sampuli katika wimbo wa hip hop uliotungwa na kuimbwa na rapa Coolio katika kibao chake cha C U When U Get There.

Sikiliza

[hariri | hariri chanzo]

Hii ni sehemu ya piano ya Pachelbel's Canon:

Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pachelbel's Canon kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.