Oualid Ardji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Oualid Ardji (amezaliwa tarehe 7 Septemba 1995) ni mchezaji wa soka wa Algeria anayecheza klabuni CS Constantine katika Algerian Ligue Professionnelle 1.[1] Anacheza kama kiungo wa kati wa mashambulizi.

Mafanikio[hariri | hariri chanzo]

USM Alger
  • Algerian Ligue Professionnelle 1 (1): 2018–19

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. AS (3 Mei 2017). "USMA : Le NAHD veut un échange Ardji-Bendebka". Competition. Iliwekwa mnamo 30 Mei 2017. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Oualid Ardji kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.