Nenda kwa yaliyomo

Otto Truchsess von Waldburg

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Otto Truchsess von Waldburg (25 Februari 15142 Aprili 1573) alikuwa Mkuu wa Jimbo la Kikanisa la Augsburg kutoka 1543 hadi kifo chake na Kardinali wa Kanisa Katoliki.[1]

  1.  "Otto Truchsess von Waldburg" . Catholic Encyclopedia. New York: Robert Appleton Company. 1913.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.