OpenStreetMap
Mandhari
(Elekezwa kutoka Openstreetmap)
OpenStreetMap (OSM) ni mradi shirikishi wa uundaji wa ramani haririfu na huria ya dunia. Ramani zinaumbwa kwa kutumia data kutoka kwenye kachombo kadogo cha mfumo wa GPS, yaani inachukua picha za hewani na vyanzo vingine huria.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- OpenStreetMap Website
- OpenStreetMap Wiki
- http://geo.topf.org/comparison/index.html Ilihifadhiwa 16 Januari 2009 kwenye Wayback Machine.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |