Onejiru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jina Lake halisi ni Pielina Wanjiru Schindler, majina yake akiwa kwenye ukumbi ni Onejiru au Onejiro Schindler.

Onejiru (jina lake halisi ni Pielina Wanjiru Schindler[1]) ni mwimbaji wa jazi nchini Ujerumani.

Maisha[hariri | hariri chanzo]

Pielina Wanjiru Schindler alizaliwa nchini Kenya na kuhamia Ujerumani alipokuwa kijana. Alilelewa huko Wanne-Eickel nchini Ujerumani, ambapo uzoefu wake wa kuimba muziki ulianza katika kwaya ya wasichana na kwenye masomo ya ballet. [2]Mwanzoni mwa shughuli zake za Uimbaji akijulikana kama Onejiru, alijiunga na kundi la Helge Schneider band Fighters. Onejiro aliimba kwenye albamu Jan Delay, Sam Ragga Band [[:de:Sam Ragga Band|] (Loktown Hi-Life, 2003)[3] na Matthias Arfmann. [4][5] Albamu ya "Prophets of Profit" ilizinduliwa mwaka 2006.[6][7]Onejiru ni mwanachama Sisters Keepers kikundi cha wanamuziki wa kike, na waliingia katika "maandamano ya kijinsia" na kuimba "pamoja", walipata nafasi ya 14 katika Bundesvision Song Contest 2008, Rhine ya Kaskazini-Westphalia.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Onejiru", Wikipedia (in English), 2021-11-22, retrieved 2022-02-17 
  2. The formation of the circle of friends - Friends of Umoja. (de).
  3. Sam Ragga Band (2003-01-13). Loktown Hi-Life. Wea International (Warner).
  4. Matthias Arfmann Presents Ballet Jeunesse (Limited Edition). Universal Music Classics (Universal Music) (2016-09-09).
  5. Matthias Arfmann Presents Ballet Jeunesse. Deutsche Grammophon GmbH (2016-09-09).
  6. Vina Yun (2006-04-19). Onejiru Prophets of Profit: Record Critics to Their Album (de). Intro GmbH & Co. KG. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-04-13. Iliwekwa mnamo 2022-02-17.
  7. "Die Tageszeitung - Interdeutschland", Musik-Sammler.de. Retrieved on 2022-02-17. Archived from the original on 2018-08-28.