Omo tuo
Mandhari
Omo tuo (Twi: ɛmo tuo; "mipira ya mchele") ni chakula kikuu cha Ghana kilichotengenezwa na mchele. Mara nyingi, "mchele uliovunjika" au mchele wakawaida uliovunjwa vipande vidogovidogo.Wali utapikwa na maji mengi kuliko kawaida[ufafanuzi ili kuufanya uwe mlaini.Kisha utapondwapondwa ili kuufanya uwe mlaini, na kisha inafanywa kuwa mipira.[1] Nchini Ghana, kwa kawaida huandaliwa kwa supu iliyotengenezwa kwa palmnut au groundnut. Nchini Nigeria, inaweza kuandamana miyan kuka (supu ya bamia).[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |