Ogbomosho
Mandhari
Ogbomosho ni mji wa jimbo la Oyo, kusini-magharibi mwa Nigeria.
Mwaka 2020 umekadiriwa kuwa na wakazi 551,474.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Nigeria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ogbomosho kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |