Oak Park, Illinois
Mandhari
Mji la Oak Park | |
Mahali pa jiji wa Oak Park katika Marekani |
|
Majiranukta: 41°47′59″N 87°47′59″W / 41.79972°N 87.79972°W | |
Nchi | Marekani |
---|---|
Jimbo | Illinois |
Wilaya | Cook |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 50,824 |
Tovuti: Village of Oak Park |
Oak Park ni mji wa Marekani katika jimbo la Illinois. Pia ni pambizo la Chicago upande wa magharibi ya mji.
Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2003, mji una wakazi wapatao 50,824 wanaoishi katika mji huu. Eneo lake ni 12 km².
Ernest Hemingway alizaliwa katika Oak Park.
Shule ya Upili
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Illinois bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Oak Park, Illinois kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |