Nyumba ya Arewa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Maua katika eneo la nyumba ya Arewa

Nyumba ya Arewa ni kituo cha utafiti na historia kilichopo chini ya chuo kikuu "Ahmadu Bello University", nchini Nigeria.

Makumbusho hayo yapo katika mji wa Kaduna [1][2]

Historia[hariri | hariri chanzo]

Nyumba ya makumbusho ya Arewa ilijengwa mwaka 1950 na kufanywa kuwa makumbusho mwaka 1970 wakati kikosi kazi kilipotaka kuandika historia ya Nigeria ya kaskazini.

Mkurugenzi wa kwanza wa kituo hicho alikuwa profesa Abdullahi Smith, muanzilishi wa kitengo cha historia katika chuo kikuu cha Ahmadu Bello Zaria. Profesa Idris Shaaba Jimada ndiye mkurugenzi wa sasa wa kituo hicho.[2][3][4][5][6][7]

Tazama Pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Blank template.svg Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nyumba ya Arewa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.