Nyuklia
Mandhari
Nyuklia ni neno ambalo linatumiwa katika lugha ya sayansi.
Asili yake ni Kilatini "nucleus" inayomaanisha "kiini". Inatumiwa hasa kama tafsiri ya Kiingereza "nuclear". Kwa Kiswahili neno hili linatumiwa hasa katika fani za fizikia kwa kutaja mambo yanayohusu kiini cha atomu, na pia biolojia kwa mambo yanayohusu kiini cha seli.
Nyuklia inaweza kutaja:
Fizikia
[hariri | hariri chanzo]- Uhandisi wa nyuklia
- Fizikia ya nyuklia
- Nguvu ya nyuklia
- Muitikio wa nyuklia
- Silaha za nyuklia
- Dawa za nyuklia
- Tiba ya mionzi