Nwagboka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nwagboka, au Onye-isi Ikporo-Onicha (alifariki 1886) alikuwa malkia wa Nigeria, na alikuwa omu (Malkia) wa mwisho wa Onitsha.

Mwaka wa 1886 aliwaongoza Ikporo Onitsha (chama cha wake wa Onitsha) katika mgomo dhidi ya Obi Anazonwu.[1] Mgomo huu ulioongozwa na wanawake ulilenga "kukumbusha jamii kwamba hakuna jamii inayoweza kufanya kazi bila majukumu yaliyotekelezwa na wanawake wake."[2]

Baada ya kifo cha Nwagboka mwaka wa 1886, hakuna mrithi aliyetajwa kwa cheo cha omu, na tangu wakati huo Onitsha imekuwa na kiongozi wa kiume pekee.[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Gloria Chuku (2004-12-30). Igbo Women and Economic Transformation in Southeastern Nigeria, 1900-1960. Routledge. ku. 205–6. ISBN 978-1-135-46940-5. 
  2. Nkiru Nzegwu, 'Gender Equality in a Dual-Sex System: the Case of Onitsha', Canadian Journal of Law & Jurisprudence, Vol. 7, Issue 1 (January 1994), pp.73-95.
  3. Ejikeme, Anene (2006). "Onitsha Women Battle the Government". Katika Litzenberger, C.J.; Lyon, Eileen Groth. The Human Tradition in Modern Britain. Rowman & Littlefield. uk. 222. ISBN 978-0-7425-3735-4. 
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nwagboka kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.