Nuksi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Nuksi (pia: Nuhusi) ni hali ya kutokuwa na bahati ya maisha au kutofanikiwa katika masuala fulanifulani (lakini si rasmi kwa sababu ipo kama imani tu). Pia, hutumika hata mitaani katika hali ya kutaniana au kuelezana kwa namna fulani. Kwa mfano kila ukifanya jambo fulani, hufanikiwi, basi mwingine anatokea na kusema "una nuksi" ndiyo maana hufanikiwi. Nuksi pia ni jina la kutaja Ngano za Kiitalia zilizokuwa zikikusanywa na Italo Calvino kwenye miaka ya 1950.