Nenda kwa yaliyomo

Ntaba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ntaba ni kata ya Wilaya ya Busokelo katika Mkoa wa Mbeya, Tanzania.

Katika sensa iliyofanyika mwaka 2022 wakazi walihesabika kuwa 7,420 [1].

Kata hiyo ni maarufu kwa biashara ya zao la kokoa na la mpunga, lakini pia ni kitovu cha Busokole kwa kuwa na soko kubwa, pia kuna bwawa la Kingili, kivutio cha utalii kutokea sehemu mbalimbali ndani na nje ya nchi.

Kata za Wilaya ya Busokelo - Mkoa wa Mbeya - Tanzania

Isange | Itete | Kabula | Kambasegela | Kandete | Kisegese | Lufilyo | Lupata | Luteba | Lwangwa | Mpata | Mpombo | Ntaba


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mbeya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ntaba kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.