Nozeli
Jump to navigation
Jump to search
Nozeli (kutoka Kiingereza: nozzle[1]) ni kifaa kilichobuniwa na kutengenezwa kwa madhumuni ya kuelekeza na kubadilisha tabia ya kimiminika au gesi inayopita ndani yake.