Norma Alarcón
Mandhari
Norma Alarcón (alizaliwa Novemba 30, 1943 [1] ni mwandishi na mchapishaji wa Chicana nchini Marekani.
Ndiye mwanzilishi wa Third Woman Press na mhusika mkuu katika Chicana feminism.[2] Ni Profesa wa Mafunzo ya Chicano katika Chuo Kikuu cha California, Berkeley.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Alarcón (Norma) papers". oac.cdlib.org. Iliwekwa mnamo 2020-01-07.
- ↑ Cathy Cockrell, "A Labor of Love, a Publishing Marathon: Professor Norma Alarcon's Berkeley-Based Third Woman Press Turns 20," The Berkeleyan, May 12, 1999
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Norma Alarcón kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |