Nenda kwa yaliyomo

Nokia 1110

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Simu ya Nokia 1110

Simu ya Nokia 1110 na Nokia 1110i ni simu zilizotengenezwa na kampuni ya Nokia na 1110 ilitolewa mnamo 2005; na 1110i ikatolewa mnamo 2006. Simu hizi zilitengenezwa kwa makusudio ya kutumiwa na watu wenye maisha duni na ambao hawajawahi kutumia simu maishani mwao. Kulingana na kampuni ya Nokia, simu ya 1110i ina manufaa ya urahisi wa kuitumia na inayouzwa kwa bei rahisi.[1][2] Simu hizi mbili zinafanana na Nokia 1100. Simu hii ililengwa kwa nchi ambazo zinaendelea.[3]

Yaliyomo[hariri | hariri chanzo]

  • Saa
  • Michezo
  • Betri yenye uwezo wa kumudu saa 5
  • Mchezo mpya ya SNAKE XENZIA
  • Ufutaji rahisi wa ujumbe mfupi
  • Kasha lake huweza kubadilishwa kwa rangi tofauti.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nokia Press Release (June 19, 2006)".
  2. Nokia launches two new handsets as part of its strategy for growth markets Archived 9 Desemba 2007 at the Wayback Machine., forbes.com, 2 Juni 2005. Accessed on line 4 Desemba 2007.
  3. Bremner, Brian (2007-01-30). "India Blows by China in Mobile Phone Market Growth". BusinessWeek (McGraw Hill). Iliwekwa mnamo 2007-07-03. All this explains why global handset makers such as Nokia, Motorola and Samsung are shifting product development efforts and marketing strategies to emerging markets [..] Nokia, which has invested heavily in emerging markets, late last year slashed the price of its basic monochrome model —the Nokia 1110 [and] has three phones in the sub-$50 range.