Nnewi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha ya muonekano wa juu wa Nnewi, jiji katika Jimbo la Anambra, Nigeria
Picha ya muonekano wa juu wa Nnewi, jiji katika Jimbo la Anambra, Nigeria

Nnewi ni mji wa jimbo la Anambra nchini Nigeria.

Mwaka 2022 umekadiriwa kuwa na wakazi 214,558[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Nigeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nnewi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.