Ninga
Mandhari
Kwa matumizi taofauti ya jina hili angalia hapa Ninga (Njombe)
Ninga | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Ninga wa Afrika (Treron calvus)
| ||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
| ||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||
Jenasi 4; spishi 10 katika Afrika:
|
Ninga ni ndege wa nusufamilia Treroninae katika familia Columbidae. Spishi nyingi zina rangi ya majani na manjano, nyingine zina rangi ya buluu. Spishi hizi zinatokea Afrika na Asia. Hula matunda, hususa matini. Hulijenga tago lao mitini na jike huyataga mayai mawili.
Spishi za Afrika
[hariri | hariri chanzo]- Alectroenas madagascariensis, Ninga Buluu wa Madagaska (Madagascar Blue Pigeon)
- Alectroenas nitidissimus, Ninga Buluu wa Morisi (Mauritius Blue Pigeon) imekwisha sasa (miaka ya 1830)
- Alectroenas pulcherrimus Ninga Buluu wa Shelisheli ( Seychelles Blue Pigeon)
- Alectroenas sganzini, Ninga Buluu wa Komori (Comoro Blue Pigeon)
- Treron australis, Ninga wa Madagaska (Madagascar Green Pigeon)
- Treron calvus, Ninga wa Afrika (African Green Pigeon)
- Treron griveaudi, Ninga wa Komori (Comoros Green Pigeon)
- Treron pembaensis, Ninga wa Pemba (Pemba Green Pigeon)
- Treron sanctithomae, Ninga wa Sao Tome (São Tomé Green Pigeon)
- Treron waalia, Ninga tumbo-njano (Bruce's Green Pigeon)
Spishi za Asia
[hariri | hariri chanzo]- Cryptophaps poecilorrhoa (Sombre Pigeon)
- Phapitreron amethystina (Amethyst Brown Dove)
- Phapitreron brunneiceps (Mindanao Brown Dove)
- Phapitreron cinereiceps (Tawitawi Brown Dove)
- Phapitreron leucotis (White-eared Brown Dove)
- Treron affinis (Grey-fronted Green Pigeon)
- Treron apicauda (Pin-tailed Green Pigeon)
- Treron aromaticus (Buru Green Pigeon)
- Treron axillaris (Philippine Green Pigeon)
- Treron bicinctus (Orange-breasted Green Pigeon)
- Treron capellei (Large Green Pigeon)
- Treron chloropterus (Andaman Green Pigeon)
- Treron curvirostra (Thick-billed Green Pigeon)
- Treron floris (Flores Green Pigeon)
- Treron formosae (Whistling Green Pigeon)
- Treron fulvicollis (Cinnamon-headed Green Pigeon)
- Treron griseicauda (Grey-cheeked Green Pigeon)
- Treron olax (Little Green Pigeon)
- Treron oxyurus (Sumatran Green Pigeon)
- Treron phayrei (Ashy-headed Green Pigeon)
- Treron phoenicopterus (Yellow-footed Green Pigeon)
- Treron pompadora (Sri Lanka Green Pigeon)
- Treron psittaceus (Timor Green Pigeon)
- Treron seimundi (Yellow-vented Green Pigeon)
- Treron sieboldii (White-bellied Green Pigeon)
- Treron sphenurus (Wedge-tailed Green Pigeon)
- Treron teysmannii (Sumba Green Pigeon)
- Treron vernans (Pink-necked Green Pigeon)
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Ninga buluu wa Madagaska
-
Ninga buluu wa Morisi
-
Ninga buluu wa Shelisheli
-
Ninga wa Madagaska
-
Ninga tumbo-njano
-
Sombre pigeon
-
Amethyst brown dove
-
White-eared brown dove
-
Thick-billed Green Pigeon
-
Yellow-footed Green Pigeon
-
Pompadour Green Pigeon
-
White-bellied Green Pigeon
-
Pink-necked Green Pigeon