Nenda kwa yaliyomo

Nikki Yanofsky

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Yanofsky anafanya maonyesho mjini Vienna mwaka 2010.

Nicole Rachel "Nikki" Yanofsky (alizaliwa 8 Februari 1994) ni mwimbaji wa muziki wa jazz-pop kutoka Montreal, Quebec, Kanada.

Aliimba wimbo wa "I Believe" wa mada wa matangazo ya Olimpiki ya CTV, ambao pia ulikuwa wimbo wa mada wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya mwaka 2010.[1][2]

  1. "Yanofsky making inroads into U.S. market". Canadian Jewish News. Machi 28, 2011. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-03-28. Iliwekwa mnamo 2011-04-06.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Olympics: Nikki Yanofsky inspires hometown pride". The Montreal Gazette. Aprili 14, 2010. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-03-24. Iliwekwa mnamo 2011-04-06.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nikki Yanofsky kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.